Naomba Msaada wa kutoa taarifa ya utapeli

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.

Huku akaunti yangu haina hiyo hela.

Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua, kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
😁😁😁 wakati mwingine ujifunze kuyaacha mambo yapite tu bila kukuumiza.
Unaweza ukalipuuzia tu, na maisha yakaendelea.
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613

Vipi haja kuporomoshea matusi baada ya kumgundua? Siku hizi wamerudi kwa kasi ya ajabu. Dawa akishaanza kuongea upuuzi wake, unamkatia tu simu. Ukimpa nafasi, atakubughudhi siku nzima. Na ukimshtukia tu, anakutukana.

By the way, hawa mbwa sijui wanapata wapi kiburi! Na ukiwa na biashara ya maiamala, wanakuwinda kila siku ili tu wakutapeli. Hawaogopi cha TCRA wala Polisi!
 
Wamezoea sana,tumewavumilia sana,huyu nazaa nae mana atakua ananijua
Mkuu labda kama una access na Intelpol, polisi hawa wa Simoni Sirro ni majanga matupu... jiandae mtuhumiwaa wako awakatie hela kidogo tu hata haifiki 20,000/ alafu wewe mshitaki ndio utageuziwa kibao!

Nimeyashuhudia wiki jana! Na nimeapa sitakuja kimpeleka mtu polisi hata nikimshika ugoni ni mwendo wa kumalizana sisi kwa sisi!
 
Mie kuna mmoja alinipigia akadai kuna ela imeingia kimakosa. Nikamwambia mbona sijaiona alikuwa anadai yeye ni mtoa huduma wa airtel mda huo kapiga kwa laini ya halotel, si akauliza kwani una sh ngap nikamjibu kuna laki na mda huo sins kitu.

Akakata simu then nikaona sms ya muamala wa kutunga kama laki na themanini hv, akapiga tena kuuliza kama nimeuona jibu langu ilikuwa ni sijaona alituma na kupiga hadi akaacha.
 
Hao ndivyo walivyo mkuu ukiwajua tu basi kinachofuata ni matusi

Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613

Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
ukienda kureport utaonekana huna kazi ya kufanya ,umeshajua ni TP achana nae fanya unayohisi ni sahihi kwa wakati wako
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
MUHIMU! Usibofye linki +unayoishuku iliyotumwa kwa njia ya SMS. Simu yako inaweza kudukuliwa kwa tendo hili. Ripoti utapeli kwa kuituma hiyo SMS kwenye namba 15040.

TCRA
 
Vipi haja kuporomoshea matusi baada ya kumgundua? Siku hizi wamerudi kwa kasi ya ajabu. Dawa akishaanza kuongea upuuzi wake, unamkatia tu simu. Ukimpa nafasi, atakubughudhi siku nzima. Na ukimshtukia tu, anakutukana.

By the way, hawa mbwa sijui wanapata wapi kiburi! Na ukiwa na biashara ya maiamala, wanakuwinda kila siku ili tu wakutapeli. Hawaogopi cha TCRA wala Polisi!
Ni kweli wanatukana sana. Kuna siku nilikuwa kwenye kikao. Nikapigiwa simu ila sikuipokea. Ni katika nje kuipiga hiyo namba nikijua ni mtu wa maana. Jamaa akaanza kuniimbisha. Nikamwambia huwezi nitapeli wewe.

Jamaa alinitukana sana. Yaani aliniharibia siku yangu kabisa. Serikali itusaidie jamaa wanatukana sana.
 
Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja.Huku akaunti yangu haina hiyo hela.Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua,kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
TUMA MESEJI KWENDA namba 15040 UKIIRIPOTI HIYO NAMBA YA HUYO TAPELI
 
Kuripoti ni vema ili namba iwe blocked ila uwezekano Mkubwa aliyepiga hio namba sio yake ni ya wizi ushauri kila ukipoteza line iblock ASAP
 
Ni muhimu kuripoti hao matapeli kote polisi na kwa mtoa huduma ili kuzuia wasitapeli wengine. Soma jamaa alivyotapeliwa hapa hela yake na ushirikiano hafifu aliopewa na Airtel
Screenshot_20220215-064635_Drive.jpg

Screenshot_20220215-065009_Drive.jpg

Screenshot_20220215-065044_Drive.jpg

Screenshot_20220215-065126_Drive.jpg

Screenshot_20220215-064649_Drive.jpg

Screenshot_20220215-065112_Drive.jpg
 
Back
Top Bottom