Naomba Msaada wa kutoa taarifa ya utapeli

Naomba Msaada wa kutoa taarifa ya utapeli

Avumilie tu. Me nilioga matusi mpaka mengine ni mapya yaani sjaii yasikia kabisa na nikatulia.
Yaani tapeli alikua kama anachambua ukoo wangu hivi, anantukania mke, mama, mjomba, shangazi anaenda hadi kwa babu na bibi me nasikiliza tuu.
Kanitukana sana huyu jamaa
 
Kanitukana sana huyu jamaa
Msamehe tu. Utapoteza muda na resources nyingi kumfatilia na kuna uwezekano usimpate.
Hawa jamaa wana matusi mazito yapo advance zaidi na sijui wanayatoa wapi matusi ya aina Ile.
We msamehe tu assume umetukanwa na kichaa.
 
Back
Top Bottom