Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship

Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship

Pole ndugu
Usikate tamaa watakuja wa kweli
Jieleze vizuri
Narudisha uzi juu
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni graduate mechanical engineer. Naomba msaada wa kuweza kupata ajira au internship.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Mkuu kuna mahala wanatafuta mtu wakujitolea mechanical engineer lkn nibure bure kabisa hawalipi chochote labda posho ndogondogo kazi zikitokea, maana nikampuni mpya haijasimam vzuri.
 
Mkuu kuna mahala wanatafuta mtu wakujitolea mechanical engineer lkn nibure bure kabisa hawalipi chochote labda posho ndogondogo kazi zikitokea, maana nikampuni mpya haijasimam vzuri.
Ni wapi uko mkuu.
Harafu anakusalimia sana Eng. Henry
 
Mkuu naomba January 5 unitext pm, tuone tunafanyaje nikampuni mpya nakusisitiza Sana, kazi nizakutoka mikoani, kila ukitoka kwa siku unakunja 90K. Pia unaweza pewa mahala pakuishi.
Sawa mkuu nitafanya hivyo tuombe uzima tu
 
Back
Top Bottom