Mimi ni mtumishi wa Umma nimeajiriwa nikiwa mfanyakazi katika wizara ya elimu TAMISEMI
Ninawazo la kufungua mradi wa kilimo ili niweze kujikimu na maisha mbali na kutegemea mshahara tu
Je, ni bank gani au Taasisi yoyote ya kifedha hapa Tanzania wanao toa mikopo ya mda mlefu (yaani miaka 10 hadi kumi na tano) kiasi kwamba ninapoenda kuchukua mkopo huo dhamana kubwa ukiwa ni mshahara wangu haijalishi utakatwa miaka mingapi nipate fedha isiyopungua milioni kumi na tano?