Naomba msaada wa maelezo kuhusukuchukua mkopo kwenye mabenki ya serikali

M2mishi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
715
Reaction score
268
Mimi ni mtumishi wa Umma nimeajiriwa nikiwa mfanyakazi katika wizara ya elimu TAMISEMI
Ninawazo la kufungua mradi wa kilimo ili niweze kujikimu na maisha mbali na kutegemea mshahara tu
Je, ni bank gani au Taasisi yoyote ya kifedha hapa Tanzania wanao toa mikopo ya mda mlefu (yaani miaka 10 hadi kumi na tano) kiasi kwamba ninapoenda kuchukua mkopo huo dhamana kubwa ukiwa ni mshahara wangu haijalishi utakatwa miaka mingapi nipate fedha isiyopungua milioni kumi na tano?
 
Mabenki ya serikali ndio yapi? Anyway,kwanza hakuna mikopo ya watumishi ya miaka 10-15.CRDB ndo wanatoa mkopo wa muda mrefu ambao ni miaka 6.Pili kwa kuwa ndio unaanza kazi kwa mshahara wa Ualimu wa kuanzia hata kama ni graduate huwezi kupata zaidi ya milioni 10.
 
Asante sana bwana kashi kwa ushauri wako, CRDB nishafika pi ni miaka mitano tu
 
Mabenki ya serikali ndio yapi? Anyway,kwanza hakuna mikopo ya watumishi ya miaka 10-15.CRDB ndo wanatoa mkopo wa muda mrefu ambao ni miaka 6.Pili kwa kuwa ndio unaanza kazi kwa mshahara wa Ualimu wa kuanzia hata kama ni graduate huwezi kupata zaidi ya milioni 10.

Kuna jamaa angu ni mwalimu ambaye ni graduate ktk mwaka wake wa kwanza kazini 2013/2014 amekopa CRDB millions 15. Sasa hapa nimeshangaa kidogo kusikia kuwa hata graduate hukopi zaidi ya mil 10
 
Labda Kama ametumia means nyingine Kama dhamana. Maana hata Kama ni mwajiriwa unatakiwa ambatanisha confirmation letter ambayo kwa wa mwaka wa kwanza obvious Hana. I have vivid example and experience with that.
 
Back
Top Bottom