Naomba msaada wa matibabu ya matezi na pumu

mwahaja

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
391
Reaction score
105
Poleni kwa majukumu ndugu zangu.Mtoto anaumwa matezi muda wote.Pamoja na kuhangaika Sana ktk kutafuta matibabu lakini bado.At the same time ana tatizo la kifua(pumu) ambayo Baba yake anayo pia.Sasa je kuna namna ya kuyamaliza haya maswahibu yanayomtesa huyu malaika?

Msaada wenu please.
Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni PM kama hutojali.
 
Kana uko Dar,fanya maarifa uende muhimbili kitengo cha masikio na koo,pengine tonsils zimekuwa sugu zinahitaji operation,kuhusu pumu wasiliana na specialist wa watoto hapohapo muhimbili.
 
Back
Top Bottom