mwahaja
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 391
- 105
Poleni kwa majukumu ndugu zangu.Mtoto anaumwa matezi muda wote.Pamoja na kuhangaika Sana ktk kutafuta matibabu lakini bado.At the same time ana tatizo la kifua(pumu) ambayo Baba yake anayo pia.Sasa je kuna namna ya kuyamaliza haya maswahibu yanayomtesa huyu malaika?
Msaada wenu please.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada wenu please.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app