Wanawake wangu wanadai zinawachoma. Hakuna utofauti wa malalamiko hayo iwe nimezinyoa au nimeziachia. Kila sehemu ninayoaagusa na kidevu changu basi hutoa malalamiko hayo.
Naomba msaada!
Sina utaalamu wa kuzitumia au ndo inavyokuwa?
Naona wenzangu wanaachia ndevu nyiiingi hadi wengine wanapaka ina, sasa ingekuwa wanakutana na malalamiko hayo wangeendelea na hilo zoezi kweli?