Naomba Msaada wa Mawasiliano ya DIT-ICT, VETA TEHAMA

Naomba Msaada wa Mawasiliano ya DIT-ICT, VETA TEHAMA

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
4,678
Reaction score
11,357
Hello wakuu

Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa cha habari kinavyojieleza msaada wa mtu yoyote mwenye mawasiliano ya wahusika wa Kitengo cha TEHAMA (ICT) DIT na VETA ili niweze wasiliana nao kushirikiana katika kutoa mafunzo, kupata walimu na wataalamu.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom