Naomba msaada wa mawazo kuhusu huyu mgonjwa

BASHADA

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
513
Reaction score
148
JAMANI WANA JF,
Mimi ni baba wa watoto wawili, na huyo wa pili sasa ana miezi 11. Tatizo langu kubwa ni kuwa huyo mdogo ana tatizo ambalo wataalam wanasema ni Henia. Kwenye sehemu zake za siri (juu ya penis) huwa akilia au akiwa anajisaidia panavimba sana na inaonekana anaumia sana. Hivi majuzi akiwa anajiasaidia kwenye poti nikaona pamevimba nikapaminya nikasikia sauti ya kitu kama povu kwenye sehemu hiyo (kwa ndani), which means kuna uwazi kwa ndani ambao akilia au anapojisaidia panajaa kitu kama hewa. Nimeenda hospitali wanasema anatakiwa afanyiwe surgery ili huo mshipa uondolewe. Baada ya kutoka hospital watu wengi ambao nimekutana nao wananishauri asifanyiwe hiyo surgery badala yake nitafute dawa za asili. Tatizo langu hizo dawa sizifahamu, japo kuna chache nimefanikiwa kuzijua lakini bado hazijasaidia.

Swali langu
  1. Je hili tatizo linasababishwa na nini?
  2. Na pili ni kwamba nahitaji msaada wa wana JF kama kuna mtu anayejua dawa ya kuondoa hilo tatizo bila kupasuliwa. Au pia kama hakuna option nyingine basi nikubali tuu hiyo surgery.
Asanteni naomba msaada.
 
ndungu, nakushauri tu utafute hospitali nzuri mtoto apate amtibabu toka hospital, iwe sugery au namna nyingine , lakini itoke hospital. dawa za asili hazina uhakika- huenda zinafanya kazi lakini ni bora mimi kama mzazi kujipeleka kwenye dawa za asili kuliko kupelekaq mtoto. binafsi sijui hernia inasababishwa na nini na dawa za asili sizijui

narudia tena: tafuta hosptal nzuri/daktari mzuri mtoto akatibiwe hospital na si vinginevyo. unabahatib tatizo limegundulika sasa ni tiba tu
 
Asante Kindimbajuu nimekuelewa
 
umemshauri vema mkuu....
 
Dr. Isaack wa pb clouds kwa mbali sana alikuwa akiongelea tatizo kama la mtoto wako, punguza hofu waone madaktari na we sio wa kwanza.
Kufanikiwa kwako ni pamoja na kupata huduma ya matibabu kwa wakati uhsusani watoto.
 
Back
Top Bottom