Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi

mwampepe

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
330
Reaction score
129
Habari za muda huu jamani,

Kuna mtu ananiambia tatizo la mimi mwalimu kukosa ajira serikalini, nisiilaumu serikali, bali tatizo lipo kichwani kwangu kwa kuitegemea serikali inipe ajira, na kushindwa kujiajiri.

Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi kiasi ambacho nitaweza kukidhi mahitaji yangu na kusaidia wengine ikiwemo kusomesha wengine kama mimi nilivyosomeshwa?
 
yap ila usikate tamaa...nenda pale sarlenda bridge wapo g4s....wao nadhani awazingatii kigezo cha urefu...ama unaweza kuwaatafuta SGA na wenyewe pia wapo vizuri kwenye malipo
Vipi k4s?
 
Hiyo k4s ndio kwanza naisikia kwako japo kuna tetesi kuwa ndani ya g4s kuna g4s nyingine ndogo sasa sina uhakika kama ndio hiyo k4s ama lah
 
Anzisha day care... 10,000/- au 15,000/- hata 30,000/- kwa mwezi ina tegemea na ulipo, mazingira yenyewe kielimu, ushindani kama upo etc...

Pambana una weza kuja anzisha shule yako siku moja...
God bless you
 
Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo Mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…