Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi

Jinsi ya kijibadirisha ndio mnisaidie
Toka ulipo...nenda kwingine sasa usianze jiuliza itaishije huko...utaishi na itasurvive mrad akili yako iwe smart...! Tulia kwanza uone unawezakwenda wapi...badilisha marafiki kadri uwezavyo...

Kuwa positive....yaan jineneee mema kila dakika...
Kuwa na discpline...mnyenyekevu...utaona mabadiliko...
Usiwe mvivu...fanya kazi yyt ile....
 
Nakushauri unapoamua kuweka uzi kama huu basi jitahidi kujieleza kidogo angalau wew ni mwalimu wa masomo gani? kiwango gani cha elimu ? Tofauti na ualimu unaweza au una uzoefu na kitu gani kingine ili mtu anapotaka kukushauri au kukusaidia ajue anaanzia wapi na pia mazingira unamoishi pia ni muhimu.
 
Ushauri wa haraka haraka unaoendana na elimu yako ni kufundisha tuition, we usijali hata kama hauna eneo fuata watoto wa watu majumbani kwao, tena hatakama wewe ni mwl wa secondary we piga tuition hata kwa watoto wa shule ya msingi.

Na ukiwa smart unaweza kujiongeza na kutumia mitandao like whatsapp kufikia wanafunzi wengi zaidi. Fursa kwenye education sector ni pana sana tuliza akili tu!
 
Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda, hebu njoo Gardaword ila hakikisha wewe ni mrefu, uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha NIDA bila kusahau TIN. Ofisi zipo Mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
Mikocheni ni kubwa
Naomba maelekezo zaid, mikocheni sehemu gani , panafikikaje ?
 
Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar Kariakoo.
 
Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda, hebu njoo Gardaword ila hakikisha wewe ni mrefu, uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha NIDA bila kusahau TIN. Ofisi zipo Mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
Mkuu nina mazungumzo na wewe, tunaweza kuongelea inbox
 
[emoji3516]
NAONA UNAMPA KAKA'ETU MWONGOZO!!!

[emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Kama uko Dar....fanya utafiti wa ratiba ya minada yote kuzunguka dar....utafiti ujumuishe maeneo na bidhaa kulingana na msimu....mfano mwezi huu kuelekea sikukuu....biashara ya nguo na viatu vinatoka Sana.... Kipindi cha mvua biashara ya mianvuli na gunboots....Kipindi cha kufungua shule....Sox...mabegi...viatu...madaftali...vvinatoka Sana....bidhaa ni nyingi sana...baada ya hapo tafuta mtaji....anza kazi.
 
Ukisoma hiki kitabu utapata muongozo wa kujiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…