mtafutaji 1
Member
- Aug 31, 2014
- 6
- 0
Nina wazo la kuanzisha shule ya sekondary, nimeshajenga darasa moja tu, kwa sasa chekechea wanasomea asubuhi, na jioni pre-form tution. Je nitapateje fund kwa ajili kujengea madarasa 7 mengine, uwanja ni heka 4 upo Mwanambaya karibu na Mkuranga. Wanajamii nifanyeje niweze kuwekeza kwa kutumia ardhi na biashara hii nilioitaja.