Naomba msaada wa mwenye "connection" ya kuagiza pombe kutoka South Africa

Naomba msaada wa mwenye "connection" ya kuagiza pombe kutoka South Africa

Bico Ilomo

New Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
4
Reaction score
5
Habari wana JF!

Bila connection hapa duniani huwezi kutoboa. Naombeni mwenye connection na biashara ya ku import wine and sprit toka South Africa au India tujuzane hapa Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom