Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,591 Reaction score 14,369 May 26, 2025 #1 Wakuu habari. Nina kijana anatarajia kuhitim mafunzo yake katika kozi ya Diploma in Clinical Dentistry mwezi wa nane mwaka huu. Naomba msaada wa mwongozo au nafasi ya kazi, internship kwa niaba yake kwa kipind hicho. Msaada wako ni muhim sana.
Wakuu habari. Nina kijana anatarajia kuhitim mafunzo yake katika kozi ya Diploma in Clinical Dentistry mwezi wa nane mwaka huu. Naomba msaada wa mwongozo au nafasi ya kazi, internship kwa niaba yake kwa kipind hicho. Msaada wako ni muhim sana.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 May 26, 2025 #2 Atafute passport akacheki fursa Goma, Bukavu, Kalemie na Lubumbashi.
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,591 Reaction score 14,369 May 26, 2025 Thread starter #3 Lycaon pictus said: Atafute passport akacheki fursa Goma, Bukavu, Kalemie na Lubumbashi. Click to expand... Huyu bado kijana mdogo,, kwa mazingira hayo yenye machafuko itakuwa changamoto kubwa kwake.
Lycaon pictus said: Atafute passport akacheki fursa Goma, Bukavu, Kalemie na Lubumbashi. Click to expand... Huyu bado kijana mdogo,, kwa mazingira hayo yenye machafuko itakuwa changamoto kubwa kwake.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 May 26, 2025 #4 Orketeemi said: Huyu bado kijana mdogo,, kwa mazingira hayo yenye machafuko itakuwa changamoto kubwa kwake. Click to expand... Lubumbashi na k Kalemie kuko shwari
Orketeemi said: Huyu bado kijana mdogo,, kwa mazingira hayo yenye machafuko itakuwa changamoto kubwa kwake. Click to expand... Lubumbashi na k Kalemie kuko shwari