Nina mdogo wangu aliapply medical na pharmacy katika vyuo vya MUHAS, KCMC, Bugando n.k lakin amekosa nafasi.
TCU wakamletea second selection achague koz nyingine katika vyuo vingine mimi nikampa wazo ni bora awe mwalim wa masomo ya sayansi na nikamchagulia koz ya science with education akapata pale open university lkn baada ya kuuliza wadau wengi wanasema kile chuo cha open c kizuri. Halafu hiyo koz yenyewe inachukua miaka 8 ambayo mm naiona ni mingi mno kwake..
Naomba mnisadie nifanyaje ili nimuamishe kutoka hapo open na kumpeleka chuo kingine kama UDOM au mzumbe n.k tafadhal anaejua njia nzuri ya kumuamisha anisaidie mdogo wangu amesoma PCB na ana phy E, chemistry B, bio B, na BAM C na ukinisaidia achukue koz gani kutokana perfomance yake ntashkuru sana.