Naomba msaada wa njia rahisi ya kuhama chuo

davor

Member
Joined
Jul 28, 2014
Posts
71
Reaction score
13
Nina mdogo wangu aliapply medical na pharmacy katika vyuo vya MUHAS, KCMC, Bugando n.k lakin amekosa nafasi.

TCU wakamletea second selection achague koz nyingine katika vyuo vingine mimi nikampa wazo ni bora awe mwalim wa masomo ya sayansi na nikamchagulia koz ya science with education akapata pale open university lkn baada ya kuuliza wadau wengi wanasema kile chuo cha open c kizuri. Halafu hiyo koz yenyewe inachukua miaka 8 ambayo mm naiona ni mingi mno kwake..

Naomba mnisadie nifanyaje ili nimuamishe kutoka hapo open na kumpeleka chuo kingine kama UDOM au mzumbe n.k tafadhal anaejua njia nzuri ya kumuamisha anisaidie mdogo wangu amesoma PCB na ana phy E, chemistry B, bio B, na BAM C na ukinisaidia achukue koz gani kutokana perfomance yake ntashkuru sana.
 
Chuo wanasem co kbya sna kwajns nlivo jarb kuulzia mm mwnyew nmepangw open alaf course ni 3yr ila ukfny uzemb inkua more
 
mwache akasome ingawa umepoteza malengo yake, bora ungemsaidia kuapply KIU md walihitajika watu 600 asingekosa
 
young...kwa iyo cwez kupata hapo kiu kwa namna yoyote
 
Namshaur aje St Joseph university ataxoma bachelor of science kwa miaka 5 tu
 
Nikushauri ndugu yangu kama umeona KIU ada ni kubwa ungeomba diploma za afya kuna vyuo bado vinapokea,kuna KAM college, st A grey mbeya city college dar. Hii unaweza kufanya kama hutaki kuharibu ndoto zako. KIU ada yao ni mil 6.7 na ukipigwa tafu na bodi utalipa mi 3.3.
 
Uko sahh mkuu. mm sio mweny tatzo bt ada ya KIU kubwa jaaaaa
kulko mtu kuharb ndoto zake ni bora akaenda dip. then ataendekea baadae.
 
Uko sahh mkuu. mm sio mweny tatzo bt ada ya KIU kubwa jaaaaa
kulko mtu kuharb ndoto zake ni bora akaenda dip. then ataendekea baadae.

Unajua watu hua hawaelewi!yaani mtu anaona ni bora kuua ndoto zake kuchukua degree mradi hata ya mbogamboga bila kutizama maisha ya baadae. Vyuo vingi sana siku hizi huthamini watu wenye dip kwa maana tayari wanakua hata na experience ya kazi.Kwanza hata dip za afya zinalipa sana hata hiyo ada ya KIU baadae anaweza kujilipia mwenyewe. Mshahara tu wa dip ya afya unamzidi hata mwalimu wa degree.
 
acha kudanganyika mkuu,open ni chuo kizuri sana tu.kukaa miaka 8 ni kupenda kwa mwanafunzi.programme zao zimekuwa scheduled kwa miaka 8,lakini ukiweza kusoma na kumaliza miaka 3 unagraduate kama kawaida.yaani program ni ya miaka 8 but ni juhudi zako binafsi kumaliza ndani ya miaka 3.kwa mwaka mwanafunzi unachukua idadi ya masomo unayoweza.ukiamua mawili poa,moja poa,yote ya mwaka huo poa.yaani wewe tu.but ukiweza kumaliza masomo katika programu yako kwa miaka mitatu unavaa joho kama kawaida.uzembe wako ndo utakuweka miaka 8.
 
asante sana ubarikiwe kk
...vp kuhusu walimu na hostel zao je unajisomea mwenyewe tu aunaingia darasani kama vyuo vingine??
 
ni kweli unayosema ila hawa wadogozetu wanaona ukichukua dip hlf baadae uchukue dgr muda unakua umepotea ndo maama mtu anaona bora achukue degree moja kwa moja ili acheze na muda hata kama akisoma ualimu wa sayansi...
 
st joseph amekosa nafasi ndo kilichomchanganya zaid
 
hv tunaangalia level ya elimu.
jua akichukua dip ya afya na degree ya education ni sawa tu kwa upande wa mshahara.
ila km unaangalia level ya elimu poa nenda huko open
lkn km ni kutimiza ndoto nakushahur hata kwenda dp.
 
acha uongo diploma(daktari) ana mshahara mkubwa kuliko degree(mwalimu)
 
unajua ameomba ushaur na kila mtu humu ana ushaur wake.
kwa hiyo hapa uamuz ni wake tu huwez kulazmisha achukue ushaur wako.
kaz kwa muhuska kuamua kusuka au kunyoa.
 
acha uongo diploma(daktari) ana mshahara mkubwa kuliko degree(mwalimu)

Jmn usiwe unacrash tu. of coz unaweza ona ni uongo na ni kwel sawa.
lkn nililenga its better asome dp ya afya kuliko degree ya uakimu.
ILA BUSALA NI K2 CHA BULE NDG YANG.
Thx.
 
acha uongo diploma(daktari) ana mshahara mkubwa kuliko degree(mwalimu)

Jmn usiwe unacrash tu. of coz unaweza ona ni uongo na ni kwel sawa.
lkn nililenga its better asome dp ya afya kuliko degree ya ualimu.
ILA BUSARA NI K2 CHA BURE NDG YANG.
Thx.
 
Jmn usiwe unacrash tu. of coz unaweza ona ni uongo na ni kwel sawa.
lkn nililenga its better asome dp ya afya kuliko degree ya ualimu.
ILA BUSARA NI K2 CHA BURE NDG YANG.
Thx.

mwalim mwenye degree kwa ss anapokea 510000...ila cjajua dp ila mm binafsi nimemuaxhia akasome pale pale open university nimeona nisimchanganye tena maana nayy amependa kusoma bachelor science with education kwa anamalengo ya mbali
 
sawasawa mkuu so mbaya km naye anapenda bas poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…