Magere Cheops
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 213
- 306
Nina uhuru wa kufanya hivyo kwa kuwa ninacholipa ni pesa yangu.... Nitakopa kadri inavyowezekana kwa ajili ya kufanya maendeleo in mama Samia's voicewatu km wewe hammalizagi mambo mnadandia tren kwa mbele amini tu nakwambia ata huko uendako kuna siku utakimbia kabla hujakamilisha jambo
mwisho maisha yako yote yatakuwa saccos.
Ngoja tuwasubiri ...Wanakuja
Kama wanaleta ujinga waambie kuwa utawapeleka mahakamani maana it is your right kupata balance na kuhama as long as unawalipa kilicho chao!Ninaomba kueleweshwa na kuelekezwa nini cha kufanya kisheria ili kupata haki yangu.,...
Niliwahi kukopa kwenye kitaasisi furani mwaka Jana sasa mwaka huu crdb wamenihamasisha kwa kuwa wamepunguza riba hivyo Nataka kuwauzia Deni langu lililo kwenye hicho kitaasisi.... Sasa nawaomba cotation balance wananizungusha hawataki kunipa na bado wamenidokeza kuwa hata kama watanipa ntapaswa kuwalipa pesa yote kama ilivyo kwenye salary slip... Hii imekaaje jamani na kipi nifanye ili wanipe balance yangu ikiwa halali kulingana na muda ninaotaka kulipa Deni lao.... Naombeni ushauri.
Sidhan kama Ni busara kuwataja mitandaoni maana inawezekana miongoni mwetu Ni mameneja wa taasisi hiziTaasisi fulani haina jina?
Noted... Nadhan hili ndio la kufanyaTafuta mkataba wao nenda nao kwa uongozi wa juu. Nenda hata HQ.