Magere Cheops
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 213
- 306
Ninaomba kueleweshwa na kuelekezwa nini cha kufanya kisheria ili kupata haki yangu.
Niliwahi kukopa kwenye kitaasisi furani mwaka Jana sasa mwaka huu CRDB wamenihamasisha kwa kuwa wamepunguza riba hivyo Nataka kuwauzia Deni langu lililo kwenye hicho kitaasisi.
Sasa nawaomba cotation balance wananizungusha hawataki kunipa na bado wamenidokeza kuwa hata kama watanipa ntapaswa kuwalipa pesa yote kama ilivyo kwenye salary slip.
Hii imekaaje jamani na kipi nifanye ili wanipe balance yangu ikiwa halali kulingana na muda ninaotaka kulipa Deni lao.... Naombeni ushauri.