Wana jf kwa yeyote anayefahamu sheria au utaratibu wa parking, nauliza hivyo kwa sababu hapa Aarusha naona kuna watu wanalazimisha wizi wa mchana kwa kutoza parking kando ya highway yaani kando ya barabara iendayo Nairobi. Hawa ni watu waliopewa kazi ya kukusanya parking katikati ya mji. Sasa hivi wanajkuja kikundi kama majambazi wanatoa upepo magari tuwashughulikieje ili kuwasaidia raia?
Naomba msaada jamani.
Naomba msaada jamani.