Naomba msaada wa sheria ya parking

Naomba msaada wa sheria ya parking

emalau

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2009
Posts
2,775
Reaction score
3,106
Wana jf kwa yeyote anayefahamu sheria au utaratibu wa parking, nauliza hivyo kwa sababu hapa Aarusha naona kuna watu wanalazimisha wizi wa mchana kwa kutoza parking kando ya highway yaani kando ya barabara iendayo Nairobi. Hawa ni watu waliopewa kazi ya kukusanya parking katikati ya mji. Sasa hivi wanajkuja kikundi kama majambazi wanatoa upepo magari tuwashughulikieje ili kuwasaidia raia?

Naomba msaada jamani.
 
Tafuta sheria ndogo, by law, inayowapa mamlaka watu wa manispaa mamlaka hayo halafu itundike hapa iliipitiwe kwa kina, na upewe ushauri
 
utaratibu na ushuru wa kupark hutofautiana kutoka halmashari moja hadi nyingi , km hauna by law inayohusu hayo mambo nenda makao makuu ya halmashauri kwenye idara ya sheria.
 
Back
Top Bottom