Naomba Msaada wa Syllabus ya French(Form I-IV na V-VI) ya Tanzania

Naomba Msaada wa Syllabus ya French(Form I-IV na V-VI) ya Tanzania

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Nimepata Shavu la ajira kitengo nyeti katika kampuni ya wazungu(wafaransa kutoka Ubelgiji) ,wamenipa kazi ila wameagiza niboreshe kifaransa changu nilicho kikimbia Makongo Sec(2002/2005) kwa Kombaa

Naomba mnisaidie the current syllabus ili nilinde kibarua changu,plz wadau
 
Back
Top Bottom