Nimepata Shavu la ajira kitengo nyeti katika kampuni ya wazungu(wafaransa kutoka Ubelgiji) ,wamenipa kazi ila wameagiza niboreshe kifaransa changu nilicho kikimbia Makongo Sec(2002/2005) kwa Kombaa
Naomba mnisaidie the current syllabus ili nilinde kibarua changu,plz wadau