A allina Member Joined Mar 7, 2014 Posts 76 Reaction score 13 Mar 24, 2014 #1 habari wadau..nisaidieni kujua wapi Rim zinapatikana kwa bei yajumla ambako wenye stetionary kubwa huchukua huko nakuja kuuza jumlajumla.nisaidieni.
habari wadau..nisaidieni kujua wapi Rim zinapatikana kwa bei yajumla ambako wenye stetionary kubwa huchukua huko nakuja kuuza jumlajumla.nisaidieni.
T tajirimasikini Member Joined Mar 23, 2013 Posts 15 Reaction score 4 Mar 25, 2014 #2 Wanapatikana mtaa ulio mkabara na mtaa wa congo kkoo, kama unaenda mtaa wa grezani.