Naomba msaada wa tatizo hili katika gari yangu aina ya Gx110

Naomba msaada wa tatizo hili katika gari yangu aina ya Gx110

ntiluhungwa

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
79
Reaction score
59
Gari yangu aina ya gx110 ukiwasha inajipiga lesi yenyewe na taa ya check engine inawaka.

Naombeni msaada

Namba yangu ni 0625998457
 
Kama upo dar nenda garage pale Temeke karibu na hospital kila kitu kitatulia......
 
Bila shaka ushapata ufumbuzi wa tatizo lako
 
Kuna cable fulani hiyo sijui jina lake,ukibadilisha tatizo limeisha!
 
Back
Top Bottom