NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
mkuu nna tatizo kama la kwako lakini nilipo kwenda hospitali baaada ya vipimo vya damu nikaambiwa ni sababu ya kundi langu la damu.nina O+. Nilikua ninapigwa shoti hadi na simu,Laptop,friji, n.k. mkuuhabari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium,chuma bt hata vitasa vya gari au gari yenyewe, hali hii hunitokea mara moja kwa muda husika, ila nikishika tena sipatwi na tatizo hilo, cha ajabu ikipita masaa kadhaa nikajisahau nikaegemea kitu kimoja wapo napigwa tena,sasa imekua shida...