NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
mkuu nna tatizo kama la kwako lakini nilipo kwenda hospitali baaada ya vipimo vya damu nikaambiwa ni sababu ya kundi langu la damu.nina O+. Nilikua ninapigwa shoti hadi na simu,Laptop,friji, n.k. mkuuhabari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium,chuma bt hata vitasa vya gari au gari yenyewe, hali hii hunitokea mara moja kwa muda husika, ila nikishika tena sipatwi na tatizo hilo, cha ajabu ikipita masaa kadhaa nikajisahau nikaegemea kitu kimoja wapo napigwa tena,sasa imekua shida...
Pepo hiloMimi huwa napata joto flani linaanzia maeneo ya tumboni na linasafiri kwa kasi mpaka mabegani, likifika mabegani napata msisimko mpaka kutikisika mwili, nikishatikisika hilo joto huuacha mwili. Hali hii hunitokea karibu mara tatu kila siku
Kamuone Dr hali hiyo yawezekana ukapooza siku za usoni.habari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium,...
Kwani unafanya kazi Tanesco.?habari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium...
Kama wewe ni KE pls njoo Pm na mimi nna tatizo kama la huyo.[emoji39]Mkuu wala usiwaze, hizo ni nyege tu...plz nitafute.
dah mkuu ushauri wako ni sawa na nguvu za GizaKwani unafanya kazi Tanesco.?
Kama ni hivyo mwili wako utakuwa na UPS ambayo hutunza umeme na kuusambaza mwili mzima..!
Ila kama hufanyi kazi tanesco basi huenda unakula sana chipsi zilizokaangwa kwa kutumia mafuta ya Transifoma hivyo mwili wako unafua umeme mpaka kufikia volti 250 hiyo ni fulsa kwako ambayo ukiitumia utapiga hela sana si unajua nchi hii ilivyo na tatizo la umeme hivyo wewe unaweza kutumika kama generator.!
Kama vipi ngoja nikuunganishie kampuni flani hivi watakuchukuwa ukawe generator.
yes hii ni group yangu pia mkuu, bt inahusiana vipi na hali hii sasam
mkuu nna tatizo kama la kwako lakini nilipo kwenda hospitali baaada ya vipimo vya damu nikaambiwa ni sababu ya kundi langu la damu.nina O+. Nilikua ninapigwa shoti hadi na simu,Laptop,friji, n.k. mkuu
Mkuu nitakuambia la kufanya ngoja nipekue makabrashaY
yes hii ni group yangu pia mkuu, bt inahusiana vipi na hali hii sasa
Fafanua hapo. Mm napigwa shoti kwenye laptop yangu nikishika kwenye pembezoni.Tatizo hilo ni la kawaida kwa watu wenye group 0+ la damu. Jitahidi kufanya mazoezi Mara kwa Mara maana mwisho wake husababisha tatizo la kupooza mwl
hapana. Unawasha Friji, tv,pasi, jiko, taa tena zile za Vitunguu, hata Pampu ya kupamu maji ndugu.Kwa hiyo MZEE umeme ukikatika unawasha bulb tu