Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,734
- 1,709
Jaribu kubadili aina ya viatu unavyopendelea sana kuvaaHabari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium,chuma bt hata vitasa vya gari au gari yenyewe, hali hii hunitokea mara moja kwa muda husika, ila nikishika tena sipatwi na tatizo hilo, cha ajabu ikipita masaa kadhaa nikajisahau nikaegemea kitu kimoja wapo napigwa tena,sasa imekua shida...
Tumia Retrovil(kidonge kimoja usiku)Folic acid 5mg(kidonge kimoja)na Carbamazepin 200mg vidonge 2 kwa siku.. Hiyo ni Neirone problem. Ukienda Hospital utapewa dawa hizo.Nitajaribu ushauri huu maana hata mimi tatizo hilo ninalo na huwa napenda sana kuvaa viatu
Madhara yake dawa zitakuchosha na kukupa usingizi mzito kwa muda usiopungua wiki 2.Tumia Retrovil(kidonge kimoja usiku)Folic acid 5mg(kidonge kimoja)na Carbamazepin 200mg vidonge 2 kwa siku.. Hiyo ni Neirone problem. Ukienda Hospital utapewa dawa hizo. Ila utafanya kipimo cha MRI NA CT SCAN KUJUA UKUBWA WA TATIZO. ASANTE.
Hili na ninaloHabari wakuu, nimekua na tatizo la kupigwa shoti mwilini hasa nishikapo materials tofauti(kasoro plastic) bt aluminium,chuma bt hata vitasa vya gari au gari yenyewe...