Naomba msaada wa tiba ya homa ya ini

Naomba msaada wa tiba ya homa ya ini

Nasikia haina tiba ila huwa wanapewa ARV watumie kufubaza virus
 
Je HP B huchukua muda gani mpaka mgonjwa kufa.mm nilipimwa zaidi ya miaka 8 au 9 nikagundulika na HP B nilituma ARV Kama miezi 3 nikaachana nazo baadae afya yangu iliimarika na nikaongeza maombi kwa Mungu sijaenda kupima tena na Wala siifikirii Kama Nina HP B mpaka Sasa napiga mishe zangu tu sijuwi nn kinaendelea huko kwenye ini maana kufuatilia naona nitajipa presha na kufa mapema
 
Mkalapa naomba tuwasiliane tafadhali kaka private pls
 
Je HP B huchukua muda gani mpaka mgonjwa kufa.mm nilipimwa zaidi ya miaka 8 au 9 nikagundulika na HP B nilituma ARV Kama miezi 3 nikaachana nazo baadae afya yangu iliimarika na nikaongeza maombi kwa Mungu sijaenda kupima tena na Wala siifikirii Kama Nina HP B mpaka Sasa napiga mishe zangu tu sijuwi nn kinaendelea huko kwenye ini maana kufuatilia naona nitajipa presha na kufa mapema
Usife unaweza kupata tiba.
Tafuta dawa inaitwa seli shina au wasiliana na huyu dokta 0719794789
 
Je HP B huchukua muda gani mpaka mgonjwa kufa.mm nilipimwa zaidi ya miaka 8 au 9 nikagundulika na HP B nilituma ARV Kama miezi 3 nikaachana nazo baadae afya yangu iliimarika na nikaongeza maombi kwa Mungu sijaenda kupima tena na Wala siifikirii Kama Nina HP B mpaka Sasa napiga mishe zangu tu sijuwi nn kinaendelea huko kwenye ini maana kufuatilia naona nitajipa presha na kufa mapema
Pole sana Mungu ni mwema akusimamie
 
Back
Top Bottom