Naomba msaada wa Tiba ya ugonjwa wa kupooza mwili

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
1,389
Reaction score
714
Nina mgonjwa amepatwa na tatizo la kupooza mwili lakini hospital moja ya mkoa wanampatia dawa za maumivu tu anarudishwa nyumbani. Je kuna namna tofauti ya kushughulikia tatizo hili au hospital inayotoa tiba fasaha ya ugonjwa huu.
msaada tafadhali
 
Tiba ya ugonjwa wa Kupooza ni mazoezi
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi na msaada huo
 
Samahani sana kwakweli nimekuwa mnafiki kama wale walioponywa na Yesu wengine hawakurudi kutoa ushuhuda. Mgonjwa alipona kwa mazoezi na kunywa maji na maziwa lakini kubwa kanisa walikuja wakawa wanamuombea hapo nyumbani na kuombea mazingira ya nyumba nzima akaombewe.
Alipooza upande mzima. Ila sasa tunavyoongea ni mzima kabisa yaani hadi nashangaa. kweli maombi ni tiba kabisa. yaani nilipanic maana sikuwa na mtu wa kujitolea kumuangalia. mwanae yupo darasa la kwanza hakukuwa tena na mtu wa kumsaidia hasa kuoga na kwenda chooni.

Namshukuru Mungu kwa kuepusha hili jaribu
 
Mkuu mwambie huyo mgonjwa aliyepona asiache mazoezi hasa ya kukimbia/jogging...yaani mazoezi yawe sehemu ya maisha yake...mazoezi ni tiba ya magonjwa mengi sana
 
Samahani sana kwakweli nimekuwa mnafiki kama wale walioponywa na Yesu wengine hawakurudi kutoa ushuhuda. Mgonjwa alipona kwa mazoezi na kunywa maji na maziwa lakini kubwa kanisa walikuja wakawa wanamuombea hapo nyumbani na kuombea mazingira ya nyumba nzima akaombewe.
Alipooza upande mzima. Ila sasa tunavyoongea ni mzima kabisa yaani hadi nashangaa. kweli maombi ni tiba kabisa. yaani nilipanic maana sikuwa na mtu wa kujitolea kumuangalia. mwanae yupo darasa la kwanza hakukuwa tena na mtu wa kumsaidia hasa kuoga na kwenda chooni.

Namshukuru Mungu kwa kuepusha hili jaribu
wow! Hongera yake! Mungu amekuwa upande wake... wengi wanopooza upande mmoja huwa wanapona kwa mazoezi. Issue ni Spinal cord ikisababisha kupooza kwa mtu huwa ni mara chache sana kurecover.
 
Huyu mgonjwa alipata ajari pingili za uti wa mgongo zikahama lakini madaktari wakasema sio chanzo. Mungu kamaidia kwa kweli nashukuiru sana. sasa namsistiza suala la mazoezi
 
Back
Top Bottom