Habari samahan sana kwa kutumia muda wenu lakin nianaombi moji ambalo no ufadhili wa masomo ya diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023.
Naitwa Frank Mabula juma nikijana mwenye umri wa miaka 21 nikijana ninaetoka katika familia ya Mzazi mmoja yaani mama peke.
Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu lakni matokeo hayakua vizuri nilipata three ya point 14 lakin sikukata tamaa nilimshukuru MUNGU kwa nilichokipata. Nilifanya utaratibu wakuomba chuo kupitia cheti cha kidato cha nne na nilitegemea mpunga niliokuwa nimelima kua utanisaidia lakni mama aliugua tangu mwezi wa saba nikauza mpunga wote niliokuwa nao ili tu kumuuguza mama hadi sasa sina pakushika naomben msaada wa fedha niweze kulipa ada ya masomo na michango mingine au kama kuna shirika,taasisi,kampun inayoweza kunifadhiri hata kama ni kwa mkataba nipo tayari napatikana katoro mkoani Geita.
Ada na michango yote ni million mbili na laki mbili (2,200,000) namba za simu ni 0622119511