Bosco Robert
Member
- Jan 12, 2016
- 65
- 53
Hivii, hili neno "KAA VIZURI" kwa mwanamke lina maana gani? Wakati wa mchana Mwanamke akiwa nje ukimwambia "KAA VIZURI" anabana miguu, Lakini wakati wa usiku akiwa kitandani ukimwambia "KAA VIZURI" anapanua miguu, Hebu nisaidie mtaalamu wa mambo haya? KAA VIZURI ni Kubana miguu au Kupanua miguu?..