Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

Nahitaji laini za wakala

Tigo. (TigoPesa)
Halotel (halopesa)
Vodacom (m pesa)
Airtel (Airtel money)
Kwa atakayeweza kunisaidia

Nipo Dar es salaam
njoo inbox zote zinapatikana

ila tigo kwa sasa wanasumbua kutoa balaa inaweza kukubali au lah

halotel wamesitisha kwa sasa mpaka watakaposema wao

nyingine fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…