Naomba msaada wa Ushauri kwa mwenye uelewa wa engine za VVTI D4?

mkuu natumia simu lkn kuna uzi umeelezea vizuri sana hilo swali lako jipe home work ya kuutafuta.

in short hapo unazungumzia vitu viwili touti .au unafananisha vitu viwili tofuti kbs ni sawa na kusema timu ya mpira wa miguu na mikono ipi ni nzuri?? kama unataka kufananisha basi ziwe ni timu za aina moja.
 
Mkuu Lege kuna injini zimeandikwa hivyo D4 VVTI nadhani ndo jamaa anaomba ufafanuzi kwenye gari kama Toyota ISIS model za miaka ya hivi karibuni ndo zinazo
D4 VVTI.jpg
 
ujue kujieleza kwa dr kwa usahihi ni tiba mojawapo kubwa na tosha sana. sasa kuomba msaada wa kueleweshwa jambo harafu hufunguki vizuri inawatia watu ugumu wa kuchangia mkuu. hapo unahitaji ushauri gani labda?

maana ya hayo maneno au mfumo wake utendaji wake au unataka kueleweshwa kuwa engine ya vvti d4 inakuwaje mfumo wake wa ufanyaji kazi
 
D-4 sijawahi kuta ikisifiwa ni problem kwa jibu la jumla toka Asia mpaka Africa
 
[emoji55]
Unajua tatizo kubwa la D4 ENGEN(DIRECT INJECTION 4 STROKE ENGEN)
mafuta ya Bongo siyo mazuri kwA matumizi ya engen hiyo na pia mafundi wengi longolongo...
MIMI mpaka leo siamini eti mjapan katengeneza engen kimeo Ila uwezo wa mafunzo wetu ni shidaaaa......na wakubabaishaaa TU n'a hawataki jifunza Vitu vipyaaa.
Shida engen hiii inatumiaa mafuta yasiyo salamaa

OVA
 
mkuu sio mjapani pekee ni hata europe mpaka huyo mjerumani na mmarekani mwenyewe anatumia na kutengeneza engine ya D4 .kushindwa kukitengeneza kitu au kukitumia kitu usikipe ubaya au ndio kibovu hapana,

technologia ya engine now imegota kwenye D4 sasa ww mtanzania unaye lalama kuwa ni engine mbovu utashangaza.

mm mtu huwa akinambia D4 mbovu anipe na sababu za kwanini ni mbovu lkn usije ukaleta sababu za kuwa hazitengenezeki sijui zinaharibika sana .hapo sio sawa kama mafundi magumashi hilo ni tatizo la fundi sio gari? kama mtumiaji unaunga unga hufanyii gari ukarabati kwa wakati hapo shida ni ww sio gari.
 
Ni kweli mafundi mpaka leo ukiwauliza ubovu wa engen hawakupi majibu.....Ila d4 ENGEN huku kwetu mafuta yanayowekwa kwenye gari ni mabovu.........hayafai kwa engen Hyo
 
mrangi upo sahihi kuna premio moja ilikua inamisi sana sasa kuna tripu moja nikawapa madereva wa truck waje nayo SA walikua watano ili kupunguza gharama zao na pia iyo gari itumike kuwaonesha njia wakati wa kurudi kuna muda inatulia kuna muda inafanya hayo madudu ilipofika Botswana tuu ilitulia kabisa mpaka inafika SA tumeitumia kule karibu miezi mitatu halikuepo hilo tatizo liliibuka tatizo hilo baada ya kufika Tanzania tena.. nakubaliana na hoja yako 100% kuwa mafuta yetu machafu ndio yanachangia hilo tatizo...
 
NI MAFUTA TU MKUU

D-4 ni engine nzuri sana kama ukiitunza vizuri..Like any other engine service ni muhimu. Na ukipata D-4D ndio saaafi kabisa mana hata consumption ya fuel ni bora zaidi.
 
lazima watakuwa mafundi magumashi hao

b3bc176eac7c2bb9738930bd50984b42.jpg

Mkuu naomba msaada wako maana nimeagiza Caldina na ina engine ya D4 nimeona huu uzi nimeshtuka kidogo nipe uzoefu wako wa nini nifanye maana nimeshaagiza tayari naomba kujua hasa kwenye ishu ya mafuta naona wadau wanasema mafuta yetu ni tatizo kwa D4 na lolote lile ambalo ni usefull ili niifanye motorcar yangu isiwe kimeo.
 
Makesure unaweka mafuta genuine, uwe na shell special za kuweka mafuta zinazoaminika usije jichanganya na za uswazi utalia engine italock na kuanza shida.
Pia ukiweza nunua kile kifaa special cha kupima mafuta genuine
 
Duh hapa kazi ipo aseeee...kwa maisha na hustle zangu za mtaa kwa mtaa naona hii gari ishanishinda hata kabla sijaanza kuitumia.
 
Mkuu ni vyema kabla ya kununua gari utafute ushauri kwa wajuvi wa mambo maana maswala ya magari ni taaluma nyeti inayohitaji ufahamu wa kina. Usione watu wanaendesha maVogy na maBenz wana hela hao hata Spears wakiambiwa waagize ulaya fasta wanaagiza, kwa sisi kajamba nani ndio unaona vivitz na viIST vimejaa barabaran kusevu chenchi
 
Back
Top Bottom