Naomba msaada wa ushauri na tiba juu ya ugonjwa wa Handwarts

Chief Wingia

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
2,653
Reaction score
4,744
Miezi 6 iliyopita vipele vidogo kama vya joto vilinitoka kwenye vidole vya mikono nilipovitumbua vilipona na kujitengeneza vidutu vigumu (rough skin surface) ambayo hospitalini Doctor aliniambia ni ugonjwa unaoitwa handwarts/common warts na kupatiwa tiba ambayo haiukunisaidia kabisa

Maana nilikuja kugundua dawa nyingi nilizopatiwa zilikuwa ni ANTIFUNGUS & ANTIBIOTICS wakati tatizo ni VIRAL DISEASE.
Hivyo basi naomba ushauri au tiba sahihi ya ugonjwa huu
 
podophlyn chemical
japo ni ya sehemu za siri ni kiboko
.siku 2 vikabanduliwa vyote.
sasa sijui Kama mkononi inafaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…