Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Miezi 6 iliyopita vipele vidogo kama vya joto vilinitoka kwenye vidole vya mikono nilipovitumbua vilipona na kujitengeneza vidutu vigumu (rough skin surface) ambayo hospitalini Doctor aliniambia ni ugonjwa unaoitwa handwarts/common warts na kupatiwa tiba ambayo haiukunisaidia kabisa
Maana nilikuja kugundua dawa nyingi nilizopatiwa zilikuwa ni ANTIFUNGUS & ANTIBIOTICS wakati tatizo ni VIRAL DISEASE.
Hivyo basi naomba ushauri au tiba sahihi ya ugonjwa huu
Maana nilikuja kugundua dawa nyingi nilizopatiwa zilikuwa ni ANTIFUNGUS & ANTIBIOTICS wakati tatizo ni VIRAL DISEASE.
Hivyo basi naomba ushauri au tiba sahihi ya ugonjwa huu