Naomba msaada wa ushauri, nini tatizo la kuwashwa mlango wa haja kubwa?

Naomba msaada wa ushauri, nini tatizo la kuwashwa mlango wa haja kubwa?

EPHRASEkE

Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
40
Reaction score
5
Naomba ushauri, mlango wa haja kubwa unaniwasha Mara kwa Mara sijui dawa yake ni nini? Nimetibiwa sana za minyoo, na fungus lakini wapi!! Msaada jamani.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hiyo ni minyoo midogodogo,nenda hsptal
 
Sababu ziko nyingi sana.Cha. Muhimu nenda kwa daktari bingwa muhimbilia.Nenda sehemu ya kulipa mana huko ndo utajieleza na kupata huduma iliyobora.Pole sana!
 
Nashukuru kwa ushauri, nilishauriwa kutumia UNUsual, pakapoa kidogho, lakini sasa naona hali imeanza tena! Mie Niko mbali na hospital ya Taifa Muhimbili, Niko mikoani, kuhusu dawa za minyoo nimetumia sana, sa sijui shida ni ipi mpaka sasa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahaha!!!!!!!!!!! Hihihihihi!!!!! Hehehehehehe uwiiiiiiiii mtaniuwa hahahahaha! Uhuhuhuhuhuhuhu!!!!!!!! Hahahahahaha. Eti unawashwa tigo hahahahaha!
 
Naomba ushauri, mlango wa haja kubwa unaniwasha Mara kwa Mara sijui dawa yake ni nini? Nimetibiwa sana za minyoo, na fungus lakini wapi!! Msaada jamani.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Duh pole sana inawasha tu au unapata feelings za kukunwa na kitu kigumu?
 
Mh,ngoja nipite,Kitu kigumu!!kitu gani hicho sasa na wewe?:lol:

Usipite mwenzetu anawashwa ww wakimbia badala ya kutoa msaada,me nina kitu kigumu naweza kumkuna ili kumsaidia au nakosea wajameni?
 
Naomba ushauri, mlango wa haja kubwa unaniwasha Mara kwa Mara sijui dawa yake ni nini? Nimetibiwa sana za minyoo, na fungus lakini wapi!! Msaada jamani.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mara ya mwisho kunyoa nywele za huko ilikuwa lini?
 
Mapera,Unakula mapera sana sasa ukijisaidia vichembechembe vya mbegu zake vinasalia hapo matokeo yk vinakutekenya unawashwawashwa.
 
jamani hili ni tatizo la wengi na hapa sioni ushauri kabisa, au jf hakuna madaktari????
 
Hata mimi kipindi fulani nilikuwa na tatizo kama hilo. Rafiki yangu alinipeleka kwa mzee mmoja wa KIMASAI akawa amenitibu na tangu siku hiyo sijawa na tatizo hilo tena. Jitahidi tafuta wandugu hawa watakusaidia mara moja kama uko serious.
 
Sababu ziko nyingi sana.Cha. Muhimu nenda kwa daktari bingwa muhimbilia.Nenda sehemu ya kulipa mana huko ndo utajieleza na kupata huduma iliyobora.Pole sana!
mgomo bado unaendelea pale,,,,sijui huko fasti traki
 
Back
Top Bottom