Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hahaha!!!!!!!!!!! Hihihihihi!!!!! Hehehehehehe uwiiiiiiiii mtaniuwa hahahahaha! Uhuhuhuhuhuhuhu!!!!!!!! Hahahahahaha. Eti unawashwa tigo hahahahaha!
Mbona kama wewe ndo unawashwa 0713..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!!!!!!!!!! Hihihihihi!!!!! Hehehehehehe uwiiiiiiiii mtaniuwa hahahahaha! Uhuhuhuhuhuhuhu!!!!!!!! Hahahahahaha. Eti unawashwa tigo hahahahaha!
Mapera,Unakula mapera sana sasa ukijisaidia vichembechembe vya mbegu zake vinasalia hapo matokeo yk vinakutekenya unawashwawashwa.
Usipite mwenzetu anawashwa ww wakimbia badala ya kutoa msaada,me nina kitu kigumu naweza kumkuna ili kumsaidia au nakosea wajameni?
apole. kwanza toa wazo la minyoo make sio minyoo
mara nyingi huwa ni fungus lakin wengi huchukua dawa pharmacy bila kupewa ushauri na daktari jinsi ya kutumia
- sehemu ya aja kubwa na uke pamoja pembeni ya pumbu za mwanaume au perineum yote huwa na unyevu ambao ndo mazingira mazuri ya fungus lakini pia ina uchafu ambacho ni chakula kizuri kwa bacteria
- jinsi ya kutumia kama ni fungus sugu inabidi utumie dawa mbili systemic antifungal yani dawa za kumeza pia na topical yani za kupaka kwa mwanamke anaweza kuongeza dawa ya kuweka ndani ya uke yani vaginal pessaries lakini kabla ya kutumia nyoa eneo lote pia mtibu na mkeo au mmeo
- siwezi kuandika dawa hapa maana si utaratibu mzuri ni PM ntakwandikia
- lakini ntakwandikia dawa kwa magonjwa mengine ya zinaa
Hahaha!!!!!!!!!!! Hihihihihi!!!!! Hehehehehehe uwiiiiiiiii mtaniuwa hahahahaha! Uhuhuhuhuhuhuhu!!!!!!!! Hahahahahaha. Eti unawashwa tigo hahahahaha!