Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

Coolant sio maji tu! Lengo la uzi huu sio mjadala ila ni kupata ninachohitaji. Asante kwa your concern mkuu! Nmekupa mfano wa oil nlidhani ulinielewa ila kwa ulichojibu ukunielewa nilimaanisha hivi ukiona code ya oil mfano 5w30 jua hyo namba ya kwanza inastand kwa viscosity in cold climate and the lower the number the best the oil for winter climate! Je huku kwetu ukuwahi kuona mtu anatumia oil ya 0w20?? Vitu aviko limited as you think kuna facts nyingi! Based on coolant unaweza ndio kumix ila chakuangalia ni compounds za coolants zifanane mfano ethylene glycol based coolant zinaweza kuchanganywa hata kama zinatofautiana rangi! NAHITAJI HIYO COOLANT FOR MY OWN INTEREST MZEE NA SIO KAMA SINA OPTION OR SIJUI KUHUSU COOLANTS. Asante
Sawa hata mfano wako wa oil nimeuelewa ndio maana kwenye jibu nilitaja viscousity. Kwenye coolant the most important think ni material iliyotengeneza kipozeo chako ndio inadetermine ipi utumie kitu ambacho watu wengi na mafundi wetu hawajali.
Ila all in all hope utapata unachotafuta.
All the best mkuu 🙏
 
Coolant sio maji tu! Lengo la uzi huu sio mjadala ila ni kupata ninachohitaji. Asante kwa your concern mkuu! Nmekupa mfano wa oil nlidhani ulinielewa ila kwa ulichojibu ukunielewa nilimaanisha hivi ukiona code ya oil mfano 5w30 jua hyo namba ya kwanza inastand kwa viscosity in cold climate and the lower the number the best the oil for winter climate! Je huku kwetu ukuwahi kuona mtu anatumia oil ya 0w20?? Vitu aviko limited as you think kuna facts nyingi! Based on coolant unaweza ndio kumix ila chakuangalia ni compounds za coolants zifanane mfano ethylene glycol based coolant zinaweza kuchanganywa hata kama zinatofautiana rangi! NAHITAJI HIYO COOLANT FOR MY OWN INTEREST MZEE NA SIO KAMA SINA OPTION OR SIJUI KUHUSU COOLANTS. Asante
Halafu huu mjadara umenifanya nikasome kitu, kumbe antifreeze inapandisha boiling point ya maji so kuyafanya yasichemke haraka sio tu kufreeze.
So uko sawa keep looking mzee
 
Halafu huu mjadara umenifanya nikasome kitu, kumbe antifreeze inapandisha boiling point ya maji so kuyafanya yasichemke haraka sio tu kufreeze.
So uko sawa keep looking mzee

Shukrani sana mzee! Tupo pamoja! We keep learning kila siku. Its a good coolant kwa gari zenye injini kubwa zinazopata heat kwa haraka na pia inasaidia kidgo kwenye tatzo common la subaru la head gasket coz hyo coolant haikai na joto muda mrefu na haishiki joto haraka kama maji au other coolants.
 
Kwani mbona magari yapo bongo na hatuna kiwanda!?
It's all about demand

Kwa sababu demand ya magari ni kubwa...

Hata hivyo comment ya mwanzo ilizingatia madhumuni ya mahali kijiografia coolant hiyo inapopaswa kutumika...(soma maneno yote katika picha ya hilo dumu)

Jifunze kutafakari comments za wenzako kabla hujakosoa pasipo kufikiri kwa kina...
 
Halafu huu mjadara umenifanya nikasome kitu, kumbe antifreeze inapandisha boiling point ya maji so kuyafanya yasichemke haraka sio tu kufreeze.
So uko sawa keep looking mzee
Antifreeze has a lot to do with freezing point , kwa kawaida maji huganda at 0 celcius , inachofanya inasogesa hadi minus celcius kadhaa , kutegemeana na aina ya antifreeze zipo ambazo hufanya coolant iwe stable hata minus 18 celcius .
Boiling point ya maji kwenye magari inakuwa controlled na thermostat, coolants has nothing to do with it ,
 
Shukrani sana mzee! Tupo pamoja! We keep learning kila siku. Its a good coolant kwa gari zenye injini kubwa zinazopata heat kwa haraka na pia inasaidia kidgo kwenye tatzo common la subaru la head gasket coz hyo coolant haikai na joto muda mrefu na haishiki joto haraka kama maji au other coolants.
Mkuu coolants haina msaada wowote kwenye swala la kuchemsha , ina msaada sana kwenye kuzuia kutu , gari kuchemsha hugni swala mechanical mara nyingi hutegemea thermostat , radiator na fan.
experience yangu na hizo coolants zenye antifreeze hasa zinapotumika kwenye nchi za tropical, mara nyingi huozesha rubbers vitu kama horse pipes au kama headgates zina rubber basi zinachoka mapema sana.
Kiukweli maji haliisi yasiyochanganywa na kitu yapo vizuri sana kwenye swala la kupooza , shida inakuja maji yakishakuwa oxidated hutengeneza kutu ambayo si kitu kizuri .

Kwamba coolant hiyo haikai na joto muda mrefu ni uongo wa mafundi wa mitaani, haipo hivo , your average engine kama alivyo binadamu has optimism running temp, usually 80 celcius to 85 , hii huwa ni kazi ya thermostat. No matter how hard you stress the engine hii temp inatakiwa iwe constant.
 
Asante kwa ushauri mkuu! Nafahamu hilo ila kuwa antifreeze haina maana kuwa haiwezi kuwa applicable kwa nchi zenye joto, ndio mana kuna oil za 0W zinatumika na huku pia kwenye nchi zenye joto. So hiyo ni additional advantage ya product but haifanyi iwe limited.
Anayetumia oil za 0w kwenye joto la huku atakuwa hajui madhara yake , the lower the first number is the thinner oil will be when its cold. Idea ya kufanya oil iwe nyembamba wakati ya baridi ni kuifanya iweze kuwa nyepesi kuwa pumped na oil pump .hatuna temperatures za kufanya oil igande huku kwetu, so kuweka oil ya 0w ni sawa kabisa na kutembeza gari ikiwa na oil iliyopitiliza service intervals.
 
Soma maandishi yote juu ya hiyo sticker katika dumu...

Zingatia hapo kwenye kipimo cha ujazo...
mkuu,,us galon,,ni kipimo cha ujazo,cha kimarekani,hawatumii litres,,ila sio kwamba ni made in usa,inaweza kuwa ya ujeruman,russia nk,
,,kama nimechemka nisahihishwe,,
 
Ukiikosa kabisa bongo,agiza online ni $40 bila gharama za usafiri.

Hivi rangi ya coolant ina maana yoyote au ni urembo tu?

I mean kama natumia Red nikaongeza Green kuna shida,kwa mliowahi?
 
mkuu,,us galon,,ni kipimo cha ujazo,cha kimarekani,hawatumii litres,,ila sio kwamba ni made in usa,inaweza kuwa ya ujeruman,russia nk,
,,kama nimechemka nisahihishwe,,
Umepotea kidogo,
Imperial measurement vilianzia Uingereza, miaka ya 1800s ,kwa sababu waingereza walitawala marekani nayo ikajikuta inalazimika kutumia Imperial measurements , ndo sababu hadi leo wao wanatumia , inch , feets n.k gallon ni kipimo cha ujazo kwa systems za Imperial.
There is a catch however, us gallon si sawa na uk gallon , na hii ndo shida kubwa ya Imperial measurements, haina standard moja ndo maana vilianzishwa vipimo vya metric ili kuwa na standard moja
Us gallon ni 3.75 litres,
Uk gallon ni 4.5 litres
 
Mkuu sijaandika kwamba made in USA bali nimeandika kuwa lengo la matumizi yake kijiografia imelengwa kuwa USA...
Kwa picha ya hilo gallon ni clearly upo sahihi ni kwa ajili ya Usa .
3.78 litres
 
Back
Top Bottom