Sawa hata mfano wako wa oil nimeuelewa ndio maana kwenye jibu nilitaja viscousity. Kwenye coolant the most important think ni material iliyotengeneza kipozeo chako ndio inadetermine ipi utumie kitu ambacho watu wengi na mafundi wetu hawajali.Coolant sio maji tu! Lengo la uzi huu sio mjadala ila ni kupata ninachohitaji. Asante kwa your concern mkuu! Nmekupa mfano wa oil nlidhani ulinielewa ila kwa ulichojibu ukunielewa nilimaanisha hivi ukiona code ya oil mfano 5w30 jua hyo namba ya kwanza inastand kwa viscosity in cold climate and the lower the number the best the oil for winter climate! Je huku kwetu ukuwahi kuona mtu anatumia oil ya 0w20?? Vitu aviko limited as you think kuna facts nyingi! Based on coolant unaweza ndio kumix ila chakuangalia ni compounds za coolants zifanane mfano ethylene glycol based coolant zinaweza kuchanganywa hata kama zinatofautiana rangi! NAHITAJI HIYO COOLANT FOR MY OWN INTEREST MZEE NA SIO KAMA SINA OPTION OR SIJUI KUHUSU COOLANTS. Asante
Halafu huu mjadara umenifanya nikasome kitu, kumbe antifreeze inapandisha boiling point ya maji so kuyafanya yasichemke haraka sio tu kufreeze.Coolant sio maji tu! Lengo la uzi huu sio mjadala ila ni kupata ninachohitaji. Asante kwa your concern mkuu! Nmekupa mfano wa oil nlidhani ulinielewa ila kwa ulichojibu ukunielewa nilimaanisha hivi ukiona code ya oil mfano 5w30 jua hyo namba ya kwanza inastand kwa viscosity in cold climate and the lower the number the best the oil for winter climate! Je huku kwetu ukuwahi kuona mtu anatumia oil ya 0w20?? Vitu aviko limited as you think kuna facts nyingi! Based on coolant unaweza ndio kumix ila chakuangalia ni compounds za coolants zifanane mfano ethylene glycol based coolant zinaweza kuchanganywa hata kama zinatofautiana rangi! NAHITAJI HIYO COOLANT FOR MY OWN INTEREST MZEE NA SIO KAMA SINA OPTION OR SIJUI KUHUSU COOLANTS. Asante
Halafu huu mjadara umenifanya nikasome kitu, kumbe antifreeze inapandisha boiling point ya maji so kuyafanya yasichemke haraka sio tu kufreeze.
So uko sawa keep looking mzee
It's all about demandKwani mbona magari yapo bongo na hatuna kiwanda!?
Antifreeze has a lot to do with freezing point , kwa kawaida maji huganda at 0 celcius , inachofanya inasogesa hadi minus celcius kadhaa , kutegemeana na aina ya antifreeze zipo ambazo hufanya coolant iwe stable hata minus 18 celcius .Halafu huu mjadara umenifanya nikasome kitu, kumbe antifreeze inapandisha boiling point ya maji so kuyafanya yasichemke haraka sio tu kufreeze.
So uko sawa keep looking mzee
Mkuu coolants haina msaada wowote kwenye swala la kuchemsha , ina msaada sana kwenye kuzuia kutu , gari kuchemsha hugni swala mechanical mara nyingi hutegemea thermostat , radiator na fan.Shukrani sana mzee! Tupo pamoja! We keep learning kila siku. Its a good coolant kwa gari zenye injini kubwa zinazopata heat kwa haraka na pia inasaidia kidgo kwenye tatzo common la subaru la head gasket coz hyo coolant haikai na joto muda mrefu na haishiki joto haraka kama maji au other coolants.
Anayetumia oil za 0w kwenye joto la huku atakuwa hajui madhara yake , the lower the first number is the thinner oil will be when its cold. Idea ya kufanya oil iwe nyembamba wakati ya baridi ni kuifanya iweze kuwa nyepesi kuwa pumped na oil pump .hatuna temperatures za kufanya oil igande huku kwetu, so kuweka oil ya 0w ni sawa kabisa na kutembeza gari ikiwa na oil iliyopitiliza service intervals.Asante kwa ushauri mkuu! Nafahamu hilo ila kuwa antifreeze haina maana kuwa haiwezi kuwa applicable kwa nchi zenye joto, ndio mana kuna oil za 0W zinatumika na huku pia kwenye nchi zenye joto. So hiyo ni additional advantage ya product but haifanyi iwe limited.
Kwetu inatakiwa iweje?Halafu ina antfreezee sidhani kama ni applicable kwetu , hatuna temperature hizo
umejuaje mkuu,kama ya usaCoolant ya USA uipate bongo mzee baba?
Soma maandishi yote juu ya hiyo sticker katika dumu...umejuaje mkuu,kama ya usa
mkuu,,us galon,,ni kipimo cha ujazo,cha kimarekani,hawatumii litres,,ila sio kwamba ni made in usa,inaweza kuwa ya ujeruman,russia nk,Soma maandishi yote juu ya hiyo sticker katika dumu...
Zingatia hapo kwenye kipimo cha ujazo...
Umepotea kidogo,mkuu,,us galon,,ni kipimo cha ujazo,cha kimarekani,hawatumii litres,,ila sio kwamba ni made in usa,inaweza kuwa ya ujeruman,russia nk,
,,kama nimechemka nisahihishwe,,
mkuu,,us galon,,ni kipimo cha ujazo,cha kimarekani,hawatumii litres,,ila sio kwamba ni made in usa,inaweza kuwa ya ujeruman,russia nk,
,,kama nimechemka nisahihishwe,,
Kwa picha ya hilo gallon ni clearly upo sahihi ni kwa ajili ya Usa .Mkuu sijaandika kwamba made in USA bali nimeandika kuwa lengo la matumizi yake kijiografia imelengwa kuwa USA...