mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
msaada wa mawazo jamani,nahitaji kufanya biashara itakayo nsaidia kuyaweza maisha haya magumu yanayonikabili.mtaji nilionao ni 300000.tu nifanye biashara gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuri,nami nakuunga mkono.Fungua GENGE; kama upo DAR nenda asubuhi kariakoo nunua vitu kwa jumla halafu unakuja kuuza mtaani kwako. Tengeneza mazingira mazuri ya biashara, ikiwezekana weka huduma ya kupeleka bidhaa nyumbani kwa mteja. Tafuta wateja wa kudumu hapo mtaani kwako kwa kuwatembelea na kuwaeleza adhima yako ya kuwaletea bidha za jikoni kama nyanya, vitunguu n.k. kisha tafuta kijana ambae utampatia baiskeli halafu asubuhi anapita kwa wateja wako kuchukua order ya mahitaji yao na baadae kuwasambazia.