Naomba msaada: Wafugaji wananisumbua kwenye shamba langu

Nilikuwa na shida hiyo miaka ya NYUMA huko kiteto nilipata tu pistol hawajawahi rudi tena. Wakisikia tu mlio wanakuachia mashuka mekundu wanapepea makalio nje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Jinsi babu yangu alivyowaweza wafugaji wakageuka walinzi wa mashamba yetu - JamiiForums
 
Fuata Sheria
Sumu Utaua Wanyama Wengi Sana Ni Hatari Sana Japo Zipo Nyingi
 
Wafugaji wanazingua sana, jana nilipitia sehemu nimekuta kaingia ng'ombe wamekufa mpunga wote haraf pembezoni mijani ipo tele kabisa.
Kuna sehemu moja DUTHUM walichofanya wakashirikiana WANANCHI ya kwamba marufuku jamii yeyote ya kimasai kuiyuza bidhaaa zozote, aisee walishika adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…