Naomba msaada: Wafugaji wananisumbua kwenye shamba langu

agprogrammer

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
468
Reaction score
362
Wakuu natumai nyote muwazima naombeni msaada mimi ni mkulima ninaemiliki shamba mkoani Tanga wilaya ya kilindi kijiji cha masagusa, nimekuwa nikisumbuliwa mara kwa mara na wafugaji jamii ya wamaasai na malalmiko yangu nilijaribu kuyapeleka kwenye ofisi ya kijiji lakini hadi sasa ninapoandika uzi huu ofisi hyo imeshindwa kuwawajibisha hao wafugaji, mwezi uliopita walimpiga kijana wangu wa shamba na nilifika kutoa taarifa ofisi ya kijiji lakini hakuna walichokifanya zaidi ya kunizungusha zungusha na bila msaada wowote, hii tabia imekuwa mbaya kwani wamaasai hao imefikia hatua wanajiona wao wana haki juu ya maeneo ya wakulima ili hali wao wametengewa maeneo yao yamalisho ambayo hawataki kwenda. kiukweli hili swala linaumiza na linaudhi sana unakuta mtu shambani umepanda mazao yako ambayo ndo unategemea uvune uuze ulipie ada ya watoto pamoja na chakula halafu wanakuja watu wanachungia kwenye mazao yako bila kujali ni gharama kiasi gani umetumia hapo, hivyo kwakuwa huku kuna wadau wengi nina imani nitapata msaada wa kiushauri lakini pia na kisheria ili nikomeshe tabia hii. Naombeni msaada wenu wakuu Asanteni.
 
Weka sumu kwenye mazao ,unaweza kuweka mimea ya pembezoni wakiingia na kula wakifa ng'ombe 100 hawatathubutu kuingiza ng'ombe tena.
Tafuta sumu Kali.
 
Karipoti polisi na andika haya malalamiko yako kwa mikuu wa wilaya yako. Anzia hapo.
 
Mkuu kama sumu gani nisaidie jina nikaitafute, hata mimi ninatatizo kama hili
Weka sumu kwenye mazao ,unaweza kuweka mimea ya pembezoni wakiingia na kula wakifa ng'ombe 100 hawatathubutu kuingiza ng'ombe tena.
Tafuta sumu Kali.
 
Chief wewe upo mkoa upi huko wanasumbua kama huku? Hii ya sumu ni nzuri sema kisheria ina athari yake ukibainika.
Mkuu kama sumu gani nisaidie jina nikaitafute, hata mimi ninatatizo kama hili
 
Mkuu hiyo sheria iliyoshindwa kufidia mazao yangu niko tayari kukabiliana nayo, nalimia morogoro
Chief wewe upo mkoa upi huko wanasumbua kama huku? Hii ya sumu ni nzuri sema kisheria ina athari yake ukibainika.
 
Asee hawa wamaasai wana jeuri sana. Wanajifanya wao hawajali
 
Hii ndo mbinu nayo fikiria niombe kibali kumiliki hicho chombo.
Nilikuwa na shida hiyo miaka ya NYUMA huko kiteto nilipata tu pistol hawajawahi rudi tena. Wakisikia tu mlio wanakuachia mashuka mekundu wanapepea makalio nje
 
Wakuu natumai nyote muwazima naombeni msaada mimi ni mkulima ninaemiliki shamba mkoani Tanga wilaya ya kilindi kijiji cha masagusa, nimekuwa nikisumbuliwa mara kwa mara na wafugaji jamii ya wamaasai na malalmiko yangu nilijaribu kuyapeleka kwenye ofisi ya kijiji lakini hadi sasa ninapoandika uzi huu ofisi hyo imeshindwa kuwawajibisha hao wafugaji, mwezi uliopita walimpiga kijana wangu wa shamba na nilifika kutoa taarifa ofisi ya kijiji lakini hakuna walichokifanya zaidi ya kunizungusha zungusha na bila msaada wowote, hii tabia imekuwa mbaya kwani wamaasai hao imefikia hatua wanajiona wao wana haki juu ya maeneo ya wakulima ili hali wao wametengewa maeneo yao yamalisho ambayo hawataki kwenda. kiukweli hili swala linaumiza na linaudhi sana unakuta mtu shambani umepanda mazao yako ambayo ndo unategemea uvune uuze ulipie ada ya watoto pamoja na chakula halafu wanakuja watu wanachungia kwenye mazao yako bila kujali ni gharama kiasi gani umetumia hapo, hivyo kwakuwa huku kuna wadau wengi nina imani nitapata msaada wa kiushauri lakini pia na kisheria ili nikomeshe tabia hii. Naombeni msaada wenu wakuu Asanteni.
Jaribu kuweka uzio wa ukuta kama unaweza,ukichindwa panda uzio wa michongoma
 
Mkuu nilijaribu kuzungusha nyaya katika eneo langu coz ni hekari kama 40 hivi jamaa wakazitoa na hyo kesi bado inapigwa danadana na ofisi ya kijiji

[emoji15] [emoji15] jamaa watemi sana,ila jeuri yao yote inafunga break kwa wamang'ati. Hekar 40 nyingi sana,kwa uzio wa kuta itakucost sana. Fuata taratibu za kisheria,anzia ngazi ya juu kidogo, ngazi ya serikali ya mtaa /kijiji itakuchelewesha
 
Solution ya kukabiliana na wafugaji ni kumiliki bunduki wakiingia shambani ukapiga hewani mbili hawarudi tena, ila ushauri wa kuweka sumu nao ni mzuri
 
Back
Top Bottom