Je kupungua kwa homoni ya
Gonadotropin kunaweza kusababisha
mwanamke asipate mimba? ! Rafiki yangu
amekaa na mke wake zaidi ya miezi 5 bila
kupata mtoto baada ya kwenda kupima
wote wawili dkt akasema kwamba
mwanamke anaupungufu wa hiyo
homoni!! Je hili tatizo linaweza kutibika?
Msaada kwa kiswahili plz wadau