samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
gari iliyo tengenezwa mwaka 2003 car cost ni $ 1180 inaweza kunigarimu kiasi gani hadi kuimiliki mikononi? msaada tafadhari.
gari iliyo tengenezwa mwaka 2003 $ 1180 inaweza kunigarimu kiasi gani hadi kuimiliki mikononi? msaada tafadhari.
Hizo $1180 ni gharama za nini ndg?
Taja pia CC ya hiyo gari, pia download TRA calculator kwenye website yao itakusaidia kujuwa hilo