naomba msaada wakufahamishwa kwa wajuzi, gari $ 1180

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
gari iliyo tengenezwa mwaka 2003 car cost ni $ 1180 inaweza kunigarimu kiasi gani hadi kuimiliki mikononi? msaada tafadhari.
 
Taja pia CC ya hiyo gari, pia download TRA calculator kwenye website yao itakusaidia kujuwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…