Naomba msaada watanzania wenzangu

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari zenu wanajamvi!

Nimemaliza form six 2009 Milambo Sec school, mwaka huo nilipata nafasi kwenda kusoma Agricultural Engineering SUA. Lakini kutokana na kipato kidogo na kukosa mkopo sikuweza kujiunga.

Nimesoka kitaa na shughuli za hapa na pale na tempo teaching kusukuma maisha.
Mwaka jana niliomba tena chuo nikapata nafasi Mechanical Engineering UDSM(CoET). Mwaka huo nao nilikosa mkopo kwa sababu ya kumaliza form six zaidi ya miaka mitatu nyuma.

Mwaka huu niliomba tena chuo nimepata Computer Engineering UDOM ila nimefanya maombi ya transfer nikasome bsc with education DUCE. Mkopo nilichelewa kupeleka hardcopy ya form ya maombi sina uhakika kama ombi langu lilifanyiwa kazi

Nimejitokeza jukwaani leo nikiamini naweza kupata msaada wa kuweza kunifanya nami mtoto wa masikini nikapata elimu ya chuo kikuu. Naamini jukwaa hili wamo watanzania wenye hali tofauti tofauti ya kipato, pia naamini pia wanasiasa wapo humu ndani ambao mtaji wao mkubwa ndo sisi wapigakura wao ambao tunatabika ni jinsi gani tunaweza kupata elimu.

Niwaombe watanzania wenzangu wenye moyo wa huruma na wanauwezo wa kusaidia wanivushe katika hili na MUNGU atawaongezea,pia hata wale ambao kwa namna moja au nyingine wanaweza fanikisha lengo langu ninawaomba pia msipite kimya. Dunia ni yetu sote, tusaidiane jamani.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Labda uanze kutuambia unataka kuwa nani au kufanya kazi gani. Maanake wang'ang'ania kuenda chuo Ili kuitwa msomi, but you spend so much time and money for something you're not quite sure you need.
 
Labda uanze kutuambia unataka kuwa nani au kufanya kazi gani. Maanake wang'ang'ania kuenda chuo Ili kuitwa msomi, but you spend so much time and money for something you're not quite sure you need.

Lengo langu nilitaka kuwa mechanical engineer lakini nilipokosa mkopo nikapoteza dira. Kwa sasa nataka kusoma ualimu ambao natumaini nikiweza kulipa mwaka huu,mwakani mkopo uhakika.


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ipo pesaa hapa anza kwa kuuza iyo bb

Naiuza kama unamkwanja naomba nikuuzie. Mi nilinunua 90000 kwa mtu. Ila kwa sababu inaonekana inaweza nipa mkwanja wa kutosha kwenda chuo, nitakuuzia kwa laki 250000 angalau ili unisaidie pia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jaman mtotohalalinahela umebadili id au ni avata tu znafanana

Avata zinafanana. Nilikuja kuona kumbe tayari kuna mtu anatumia avata hiyo ila sikutaka kuitoa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Amna bana umechange id

Mtafute mtoto halalinahela angalia details zake then angalia za kwangu. Same avata different users.
Turudi kwenye ujumbe mama, unawazo gani katika kuokoa kizazi. Elimu ni kitu bora sana japo pesa ndo kila kitu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Muone mtoto wa mkulima a.k.a pinda.
 
Muone mtoto wa mkulima a.k.a pinda.

Jinsi ya kumfikia ni kazi sana. Ninatamani sana nionane nae sababu mi nimpiga kura wake kabisa kutoka Mpanda.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Emb twende sawa,umkaa mtaani miaka 3 ukifanya kazi ndg ndg lts say ulikua una save bk 2 kila cku ni bei gan?unajua waz hali yko kimaisha ni ngmu kwnn ununue cm ya laki 9?

m naamini kitu kimoja kwetu watanzania ni wepesi sana kujiita maskini ilihali tuna uwezo mkubwa sana kama we unajiita maskini na unatmia cm ya laki tisa ilihali kna waajiriwa humu ndan na ni dgree holders hwana hzo cm je nan anaitaji msaada kati yenu?

"i can lead the donkey to the water channel bt i cnt force it to drink water"
 

We jamaa simu sio ya lak 9 kasema alfu 90 angalia digits vizuri. Anyway I wish ningekusaidia ila wewe mwenyewe umeshindwa kusave hela za vibarua ukapata angalau nusu ada sijajua kwanini..coz kuna shule hazina walimu wewe wa form 6 sayansi unaweza kufundisha ukapata hela in one year brother..nenda shule za sekondar maeneo uliyopo omba kufundisha au hata fungua tuition..through that utatoboa mwaka tu unakutosha ukiwa na malengo kichwani save save and save.

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
Afu vijana wa PCB,PCM,PGM,CBG,ECA hawafi na njaa hata siku moja jiongeze banah acha masihara mwaka 2015 uwe wa changes anza now mpaka mwezi wa 7 una nusu ada kalipe anza kusoma zingine zitakuja tuu we kaza.

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 

Hesabu sifuri vizuri 90000

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Naiuza kama unamkwanja naomba nikuuzie. Mi nilinunua 90000 kwa mtu. Ila kwa sababu inaonekana inaweza nipa mkwanja wa kutosha kwenda chuo, nitakuuzia kwa laki 250000 angalau ili unisaidie pia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

usiwaze post ad pale inauzwa.com utapata zaidi ya iyo mia 2 na nusu! Bonge la simu ilo plus vifurushi vyake vya data ni mtaji uo
 
2009 ulikosaje mkopo?maana mwaka ule ndio ulianza course za science 100% mm mwenyewe nilijaza form b4 then bodi form haikuonekana bas kwa jins wa science tulivyokua tunaheshimiwa niliambiwa nijaze form nyengine ya na nikapata asilimia mia,kwa ufupi 2009 hakuna mwanafunz wa science aliekosa mkopo kabisa,so nashangaa wewe uliepata admission ya engineering mwaka huo tena sua?..nina mashaka kdg
 

Nilichelewa kujaza form ya mkopo. Nikashindwa kuirejesha loan board.
Na ukijijini mchongo ukaishia hapo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…