Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Habari zenu wanajamvi!
Nimemaliza form six 2009 Milambo Sec school, mwaka huo nilipata nafasi kwenda kusoma Agricultural Engineering SUA. Lakini kutokana na kipato kidogo na kukosa mkopo sikuweza kujiunga.
Nimesoka kitaa na shughuli za hapa na pale na tempo teaching kusukuma maisha.
Mwaka jana niliomba tena chuo nikapata nafasi Mechanical Engineering UDSM(CoET). Mwaka huo nao nilikosa mkopo kwa sababu ya kumaliza form six zaidi ya miaka mitatu nyuma.
Mwaka huu niliomba tena chuo nimepata Computer Engineering UDOM ila nimefanya maombi ya transfer nikasome bsc with education DUCE. Mkopo nilichelewa kupeleka hardcopy ya form ya maombi sina uhakika kama ombi langu lilifanyiwa kazi
Nimejitokeza jukwaani leo nikiamini naweza kupata msaada wa kuweza kunifanya nami mtoto wa masikini nikapata elimu ya chuo kikuu. Naamini jukwaa hili wamo watanzania wenye hali tofauti tofauti ya kipato, pia naamini pia wanasiasa wapo humu ndani ambao mtaji wao mkubwa ndo sisi wapigakura wao ambao tunatabika ni jinsi gani tunaweza kupata elimu.
Niwaombe watanzania wenzangu wenye moyo wa huruma na wanauwezo wa kusaidia wanivushe katika hili na MUNGU atawaongezea,pia hata wale ambao kwa namna moja au nyingine wanaweza fanikisha lengo langu ninawaomba pia msipite kimya. Dunia ni yetu sote, tusaidiane jamani.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums