Naomba msaada wazee

Naomba msaada wazee

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
311
Reaction score
96
nina siku kama tatu hivi naenda chooni zaid ya mara sita kwasiku tumbo haliumi ila choo kina harufu mbaya sana pia nakaa zaid ya masaa sita nikibeua chakula kinakuwa bado hakuja sagika tumboni.
 
nina siku kama tatu hivi naenda chooni zaid ya mara sita kwasiku tumbo haliumi ila choo kina harufu mbaya sana pia nakaa zaid ya masaa sita nikibeua chakula kinakuwa bado hakuja sagika tumboni

Punguza kula nyama nyekundu kupita kiasi hizo ni ngumu kusagika. Fanya hivi usiku kula mchicha wa kutosha au hata kisamvu na chakula kingine kidogo kama wali.

Hapo utakua umepona.
 
kunywa maji kwa wingi, usisahau matunda.Punguza ulaji wa ugali aina ya sembe. kula dona ndo mpango mzima
:yo:
 
nina siku kama tatu hivi naenda chooni zaid ya mara sita kwasiku tumbo haliumi ila choo kina harufu mbaya sana pia nakaa zaid ya masaa sita nikibeua chakula kinakuwa bado hakuja sagika tumboni

Mkuu hilo tatizo nami ninalo
 
Knywa kiroba asbh kmja na jioni piga msosi na kazia na viroba viwili ukiona bdo haucheuwi vzr tingishia safari lager baridiii mja hpo lazima ukae level.
 
Back
Top Bottom