Naomba msaada wenu leo natamani kuijua Zanzibar na biashara zake

DEGESWASWA

Member
Joined
Apr 12, 2019
Posts
86
Reaction score
93
Salaam..............

Leo naleta uzi huu kwenu wana JF nikiomba kujua vitu vichache na vingi sana toka kwenu, nafahamu kuwa swala la kujiajiri limekuwa swala mtambuka Sana miongoni mwetu vijana. Nimejifunza pia katika ajira na maswala mtaji kikubwa kinachotufelisha wengi wetu ni kutoaminiwa na watu waliozikalia ama kuzishikiria fursa pengine unaweza uka shangaa katika hili lakini huo ndio ukweli uliopo katika mazingira halisi tunayoishi

Ni mara kadhaa mabraza na mafaza walionizidi umri wamegoma kuniambia the secret behind their success mpaka nashangaa kwa nini huwa wanabana katika hili

Nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali zinazohusiana na fursa za biashara nje na mipaka ya hii Tanzania na leo natamani sana kufahamu fursa za biashara na kiasi kidogo cha mtaji chakuanzia katika biashara husika

Naomba msaada wenu leo natamani kuijua Zanzibar na biashara zake


FUNGUKA HAPA[emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jmn wajuzi kujeni kipande hii mumsaidie Dege
 
Ukienda huko 'Lazima' ubadili dini, tofauti na hivyo, bidhaa yako utainunua Mwenyewe na familia yako!
Inshaallah Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi!
 
urojo,chipsi(vioski)

Ila zipo biashara nyingi sana ukitembelea darajani rafiki zangu wamakonde wamejaa sana huku rafiki zangu wazenji wakiendeleza nao biashaa zao mbali mbali.
 
Kama upo siriazi basi sio kweli.

Ila kama haupo siriaz poa.
Ukienda huko 'Lazima' ubadili dini, tofauti na hivyo, bidhaa yako utainunua Mwenyewe na familia yako!
Inshaallah Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi!
 
Ukienda huko 'Lazima' ubadili dini, tofauti na hivyo, bidhaa yako utainunua Mwenyewe na familia yako!
Inshaallah Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi!
Kama umewahi ishi TANGA MJINI basi na Zanzibar pako na Jamii ya vile japo ngoma za jadi na ukarimu wa watu watanga huwezi kuta Zanzibar, kuhusu biashara hapajawa na mzunguko wa fedha kama bara, shughuli za kule ni uvuvi zaidi, watu wa kule hawapendelei vilevi, ukiuza bidhaa za vyakula zanzibar inaezekana zaidi, wapemba wenye pesa hupenda pia kununua nguo nzuri kama kanzu, hijabuz, vilemba, kofia za barkhashe, na kobasii za chini ukiwa na marashi mazuri ya Arabs yatawavutia, Kama utaweza kucreate fursa yako zenj Kama kufungua mgahawa Safi uuze kuku wa kuchoma, samaki mzuri, cakes, ice cream, maziwa na mikate amazing as well as vikorombwezo venye nakshi utapata pia wateja both watalii na wenyeji asa siku za sherehe kwa wenyeji, biashara ubunifu but wazanzibar wengi ni wa hali za kawaida ivo hawajui jinsi ya kuspend pesa hata wakipata, unajua Siri ya pesa ipo pia kwa wenye nazo ni wewe kufikiria jinsi ya kuzichukua kwao kirahisi.
 
Ni kweli kabisa Tanga mjini hakuna Sana utofauti mkubwa na zenji wetu wengi nilio wahi share nao maarifa walifananisha miji hii Kama ww

Pia vile vile katika maswala ya mzunguko wa pesa bado hakuko poa Sana Kama huku bara lakini pia niliwahi kusikia kutoka kwa bwana mmoja hivi kuwa huko lipo soko la viazi japo kuwa hakuniambia kuwa biashara unafanyaje thus nikaandika uzi huu japo nipate taarifa zaidi kuhusu hilo lkn pia Nashukuru maarifa haya machache na mengi niliyo pata toka kwenu
 
Ukienda huko 'Lazima' ubadili dini, tofauti na hivyo, bidhaa yako utainunua Mwenyewe na familia yako!
Inshaallah Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi!
Usipotoshe jamii,Kama hunampango hoja na ufahamu wa mada usilete Udini ni Bora ukae kimya.Zanzibar Kuna mahoteli na migahawa mingi ya kisasa wanakula wazungu na watalii na humo Hadi wine zinauzwa je Hao nao ni waislamu?
 
Bidhaa zote za vyakula zinalipa vizuri sana.
 
Kwa kitu chochote Cha kulika huko ni fursa maana hawalimi mazao mengi labda nazi, karafuu,mdalasini, iliki na mihogo
 
Kuna sehemu inaitwa West Kilimanjaro Kule juu kabisa Kuna geti linalitwa Lodrosi gate ambalo watalii wanapitia kupanda mlima Kilimanjaro ,Huko Kuna viazi na karoti nyingi sana wakati wa msimu .Nunua hayo mazao peleka Zanzibar utapata hela mkuu .tuwasiliana please.
 
We upo huko west Kilimanjaro au tunapaita machame wilaya ya Hai yenye Aikael F. Mbowe mbunge na M/kiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tanzania 👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…